"Stress husababisha mtu kunenepa" - Mshauri
Mshauri wa Rasilimali watu Mosses Raymond anasema kitaalam msongo wa mawazo 'Stress' ni nzuri kuleta mabadiliko katika maisha ya mtu binafsi kwa sababu ukiwa haupo comfortable unaweza kufanya juhudi za kukubadilisha.