Mashirika binafsi 4909 hatarini kufutiwa usajili
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju ameyataka Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) 4909 nchini kuwasilisha maelezo ya kwanini yasifutiwe usajili kwa kukiuka sheria na taratibu zinazo yaongoza.