TLS yaanzisha kituo cha kusuluhisha migogoro
Chama cha mawakili Tanzania (TLS) kimewataka mawakili na wadau katika masuala ya Biashara kumaliza migogoro yao ya kibiashara kupitia kituo maalumu cha kimataifa cha Tanzania international Abritration center - (TIAC)