Gharama za maisha zatatiza Masoko ya Hisa
Taarifa kutoka soko la hisa la Dar es salaam imeonyesha kushuka bei hisa zake sokoni kutokana na myumbo uliopo kwenye kupanda kwa bei za bidhaa hali inayosababisha wawekezaji kuchukua tahadhari katika kufanya uwekezaji.