''Simba tumeonyesha udhaifu''Ahmed Ally Ahmed Ally Wakati mshike mshike wa Ligi Kuu Tanzania bara ukiendelea kurindima nchini, imeripotiwa kuwa kumekuwa na udhaifu mkubwa wa kiushindani hali inayohatarisha ubora uliokuwepo kwa misimu kadhaa iliyopita. Read more about ''Simba tumeonyesha udhaifu''Ahmed Ally