Murray na Djokovic imeshindikana Novak Djokovic (kulia) na Andy Murray(kushoto) kwenye picha ya pamoja. Andy Murray amejiondoa kwenye mchezo wake dhidi ya Novak Djokovic kwenye michuano ya wazi ya Madrid kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa. Read more about Murray na Djokovic imeshindikana