Kaze ''Tupo kwenye mbio za ubingwa''

Benchi la ufundi la Yanga.

Kocha msaidizi wa Yanga Cedrick Kaze amekiri pointi moja waliyoipata dhidi ya Ruvu Shooting jumanne ya Mei 4, 2022 haiwezi kuwaondoa katika mbio zao za kuwania ubingwa wa ligi kuu kwa msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS