Afunguliwa mashtaka kwa kumtukana Rais

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera

Jeshi la Polisi nchini Malawi linamshikilia muuguzi wa afya katika hospitali ya wilaya ya Ntcheu kwa tuhuma za kuandika maneno ya kumkashifu Rais wa nchi hiyo Lazarus Chakwera, kupitia WhatsApp 'group'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS