Rekodi za Bruno Hatari, afikisha mabao 50
Kiungo mshambuliaji wa Manchester United raia wa Ureno Bruno Fernandes amefikisha mabao 50 akiwa na klabu hiyo, baada ya kufunga bao 1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu walioshindi mabao 3-0 dhidi ya Brentford jana Usiku katika dimba la Old Traford.