Yanga na Simba kukutana Mei 28 Kirumba wachezaji wa Simba na Yanga. Ratiba ya mchezo wa Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Yanga umepangwa kufanyika Mei 28 katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Read more about Yanga na Simba kukutana Mei 28 Kirumba