"Desemba wenye VVU watafikia milioni 1.7" - Ummy
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema hadi kufikia Desemba 2022 Tanzania inakadiriwa kuwa na Watanzania milioni 1.7 ambao wanaishi na virusi vya Ukimwi na kati yao milioni 1.5 wameweza kutambua hali zao.