Messi ampiku Ronaldo Lionel Messi katika majukumu yake dimbani Licha ya kuwa na msimu mbaya ,shambuliaji wa Klabu ya PSG ya Ufaransa, Lionel Messi ndiye mwanamichezo anayelipwa pesa zaidi ulimwenguni kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita na hii ni kwa mujibu wa jarida la Forbes. Read more about Messi ampiku Ronaldo