Kayoko kuamua dakika 90 za dabi ya Kariakoo Mwamuzi Ramadhan Kayoko, ameteuliwa kuwa msimamizi wa Sheria 17 za mchezo wa NBC Premier league kati ya wenyeji Yanga SC dhidi ya Simba SC siku ya Jumamosi katika dimba la Benjamin Mkapa. Read more about Kayoko kuamua dakika 90 za dabi ya Kariakoo