Kasi ya kuchanja imepungua kidogo - Rais Samia Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko - 19 ikiwa ni pamoja na kuendelea kuchanja. Read more about Kasi ya kuchanja imepungua kidogo - Rais Samia