Watoto wawili wauawa kwa ushirikina
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limethibitisha tukio la mauaji ya watoto wawili wa familia moja, Mwikwabe Saina (10), mwanafunzi wa darasa la tatu, na mdogo wake Joseph Saina (4), lililotokea katika Kijiji cha Rung’abure, Wilaya ya Serengeti mkoani humo. Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuhusi

