Nusu fainali UEFA, City vs Madrid mara ya 7
Hatua ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajiwa kuanza rasmi majira ya saa 4 usiku wa leo kwa mchezo mmoja kupigwa Kwenye dimba la Etihad, ambapo Manchester City watakuwa uwanjani kuwakabili Mabingwa wa kihistoria wa michuano hii Real Madrid.