Changamoto ya barabara Dar es salaam

Watumiaji na madereva wa barabara hususani za pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam wameziomba Mamlaka husika za serikali kuzikarabati na kufukia mashimo makubwa katika barabarani hizo hususani katika kipindi hiki ambacho mvua zinaanza kunyesha Kwa wingi..

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS