Kulipwa million 348 kwa ubaguzi wa rangi
Raia wa Kenya, Yema Khalif na mkewe Hawi Awash wanatarajia kulipwa kiasi cha $150,000 sawa na Tsh million 348 katika mji wa California, Marekani baada ya kufanyiwa ubaguzi wa rangi na maofisa wa polisi katika mji huo.