Simba ibebeni nchi -Waziri Mchengerwa
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ameitaka klabu ya Simba kufanya vizuri kwenye mchezo wao wa mkondo wa pili dhidi ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika unaofanyika nchini Afrika Kusini.