Apata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 83 Josiah Mwesigye mwenye miaka 83, raia wa Uganda amefanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza baada ya kutafuta mtoto bila mafanikio kwa miaka 57. Read more about Apata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 83