Ten Hag asaini United hadi Juni 2025. (Erik Ten Hag Kocha mpya wa Manchester United) Kocha wa kalbu ya Ajax Amsterdam Erik ten Hag ameteuliwa na kutangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Manchester United wa muda mrefu atakayechukua mikoba ya kocha wasasa wa muda Ralf Rangnick mwishoni mwa msimu huu. Read more about Ten Hag asaini United hadi Juni 2025.