Wellu Sengo ampiga dongo zito Steve Nyerere Picha ya Wellu Sengo na Steve Nyerere Msanii wa filamu Wellu Sengo 'Matilda' amesema hawezi kufanya utoto wa kuanza kumzungumzia Steve Nyerere kwa sababu hayupo kwenye maisha yake pia hatimizi majukumu yake kama baba kwa mtoto wao. Read more about Wellu Sengo ampiga dongo zito Steve Nyerere