Nyota 6 watajwa tuzo za heshima EPL “Hall of Fame"
Manguli wa zamani wa ligi kuu ya England akiwemo Sergio Kun Aguero, Paul Scholes, Vincent Kompany, Didier Drogba, Ian Wright na goli kipa Peter Schmeichel wameingizwa kwenye orodha ya watakao wania tuzo ya heshima ya ligi hiyo “Hall of Fame”.