Mwanamke aliyezaa na Barakah The Prince afunguka Picha ya Barakah The Prince na mzazi mwenziye Careen Simba Msanii wa filamu aliyezaa mtoto na Barakah The Prince, Careen Simba anasema chanzo cha kuachana na msanii huyo ni kuanzisha mahusiano na Naj wakati akiwa na ujauzito wake. Read more about Mwanamke aliyezaa na Barakah The Prince afunguka