Hatuna silaha bora - Rais Zelensky

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amesema kuwa endapo nchi yake ingekuwa inamiliki silaha bora zaidi ikilinganishwa na zile za Urusi, basi wangekuwa tayari wamekwishamaliza vita nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS