Uganda yatangaza ahueni ya Uviko - 19
Serikali ya Uganda imetangaza kuwa hakuna mgonjwa wa Covid - 19 aliyelazwa hospitalini nchini humo
Msemaji wa wizara ya Afya Emmanuel Ainebyoona amesema pamoja na tangazo hilo wananchi waendelee kuchukua tahadhari zaidi.