City wavunja Bank kumnasa Haaland
klabu ya ma Manchester City wamekubali kumpa mkataba wa paund 500,000 kwa wiki ili kumsajili myota wa dortmund Erling Haaland. Mkataba ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika Ligi Kuu ya England.