Taa moja ya barabarani yanunuliwa kwa milioni 18

Mbunge wa Viti Maalum, Tunza Malapo

Mbunge wa Viti Maalum, Tunza Malapo, amesema kwa mujibu wa ripoti ya CAG imebaini kwamba katika mradi wa kufunga taa za barabarani katika halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, taa moja ilitakiwa ilipwe kwa shilingi milioni 7.5 badala yake ililipwa kwa shilingi milioni 18.14.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS