Wanaotaka kuhama Ngorongoro wajitokeze- Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kwamba kwa wale wakazi wa wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, wanaotaka kuhama kwa hiari yao wajitokeze na waseme wanataka kwenda wapi. Read more about Wanaotaka kuhama Ngorongoro wajitokeze- Majaliwa