England kucheza Molineux baada ya miaka 66
Uwanja wa Molinuex unaomilikiwa na klabu ya Wolverhampton umechaguliwa na Shirikisho la Soka nchini England kutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya taifa England kwenye michezo miwili ijayo ya michuano ya UEFA Nations League.
