Malengo ya Simba ni kutetea ubingwa wa ASFC- Pablo
Kocha wa Simba SC Pablo Franco martin amesema malengo yao ni kuhakikisha wanashinda mchezo wao wa kombe la Azam Sports Federation Cup kesho dhidi ya Ruvu Shooting, huku malengo ikiwa ni kutetea ubingwa wa michuano hii.

