Manchester United kujiuliza kwa Brighton EPL leo
Manchester United wanataraji kushuka dimbani saa 5:15 usiku wa Leo Februari 15,2022 kucheza dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa kiporo cha Ligi Kuu ya England kujaribu kutafuta ushindi ili kurudisha hali ya utulivu na kujiamini kwenye timu hiyo.

