Msikiti wa Masjid Shafi Ilala umeungua moto Msikiti wa Masjid Shafi uliopo mtaa wa Arusha Ilala jijini Dar es Salaam unaungua moto usiku huu. Katika msikiti huo pia kuna shule ya Sekondari Ilala Islamic. Read more about Msikiti wa Masjid Shafi Ilala umeungua moto