Del Potro afikiria kustaafu tennis
Bingwa wa zamani wa Michuano ya wazi ya Marekani (US Open) Muargentine Juan Martin del Potro amepokea kichapo cha kwanza tangu arejee dimbani baada ya kuwa nje kwa muda wa miaka miwili na nusu huku akisema hadhani kama ataendelea kuwepo kwenye mchezo huo.