Mangungu: Simba SC tupo vizuri Shirikisho Afrika
Mwenyekiti wa wawakilishi wa Tanzania kimataifa klabu ya simba Murtaza Mangungu amesema anaamini timu yao itafanya vizuri katika michuanoya kombe la shirikisho barani Africa kwani kikosi chao pamoja na benchi la ufundi limejiandaa vyema na michuano hiyo.