Watapanda Mlima Kilimanjaro na figo moja

Kikundi cha Kidney Donor Athletes (KDA)

Kikundi cha kuchangia figo Kidney Donor Athletes (KDA) kinachoundwa na wanachama 22 wenye figo moja kila mmoja, wanatarajia kupanda Mlima Kilimanjaro siku ya figo Duniani March 10 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS