''Hili jambo linatuudhi, hatulitaki'' - Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kukerwa na suala la unyanyasaji wa kijinsia na kuwataka wanawake kwa pamoja walifanyie kazi ili kukomesha vitendo hivyo kwenye jamii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS