Rekodi za kibabe, nusu fainali ya kwanza AFCON
Nusu fainali ya kwanza ya michuano ya soka ya mataifa barani Afrika AFCON inachezwa leo usiku ambapo timu ya taifa ya Burkina Faso na Senegal zitashuka dimbani kuchuana kuwania nafasi ya kucheza fainali ya michuano hii.