Urusi kukata rufaa 'CAS' ya kufungiwa UEFA na FIFA
Baada ya Jumatatu iliyopita vilabu vya soka vya Urusi pamoja na timu zake za taifa za nchi hiyo kusimamishwa rasmi kushiriki mashindano yote yaliyo chini ya shirikisho la soka barani ulaya UEFA na shirikisho la soka duniani FIFA,

