Pochetino anaitamani EPL, huwenda akarejea

Maurcio Pochetino

Ripoti kutoka nchini Ufransa zinadai kuwa Kocha wa PSG Mauricio Pochetino anampango wa kurejea kufundisha soka nchini England baada ya msimu huu kumalizika. Kocha huyo amekuwa akihusishwa kujiunga na Manchester unite lakini kuna uwezekano akarejea katika klabu ya Tottenham.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS