Tembo Warriors kujiandaa na Kombe la Dunia Uturuki
Timu soka ya Tanzania ya watu wanaoishi na Ulemavu ‘Tembo Warriors’ inataraji kuingia kambaini kuanzia mwezi ujao ili kujiandaa na michuano ya Kombe la Dunia linalotaraji kuanza Oktoba 1 hadi 9, 2022 Istanbul, Uturuki.