Rafael Nadal bingwa wa Australian Open

Rafael Nadal

Rafael Nadal wa Hispania akiwa na miaka 35, ameshinda Grand Slam ya 21 baada ya kuibuka bingwa wa michuano ya wazi ya Australia kwa kumfunga mpinzani wake Daniil Medvedev.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS