Wananchi kupita bure daraja la Tanzanite
Kufuatia kukamilika Kwa ujenzi wa Daraja la Tanzanite Bridge (Salenda) sasa rasmi litaanza kutumika Februari 2022. Ameeleza Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa alipofika kujionea daraja hilo leo Januari 30, 2022.