Urais wa Samia hauna mgogoro - Askofu Gamanywa
Askofu Mkuu wa WAPO Mission International, Sylvester Gamanywa, amesema kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa kwanza ambaye ameshika madaraka hayo bila kupitia mifumo ya Marais wengine wote waliomtangulia na hakuna malalamiko yoyote kwamba yupo hapo kwa njia ya mashaka.