AFCON yafikia robo fainali, Egypt vs Morocco (Egpyt wakishangilia kufuzu Robo fainali na Timu ya Senegal) Michuano yamataifa ya Afrika ‘AFCON’ imefikia michezo ya mtoano hatua ya robo fainali baada ya michezo ya hatua ya 16 kutamatika usiku wa jana Januari 26, 2022. Read more about AFCON yafikia robo fainali, Egypt vs Morocco