Mapenzi chanzo cha mauaji ya Barke aliyeuawa guest

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, kulia ni Barke Rashid aliyeuawa

Jeshi la Polisi Kanda Malum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo mmoja amekiri kutekeleza unyama huo baada ya kuahidiwa kiasi cha shilingi milioni 1.7.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS