Watu watano wa familia moja wauawa Dodoma

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, Onesmo M. Lyanga

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, Onesmo M. Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio la kuuawa kwa watu watano wa familia moja na watu wasiojulikana katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS