Kyrie Irving arejea kwa kishindo NBA Kyrie Irving akiwa dimbani Baada ya kukoseakana kwa takribani michezo 35 ya NBA, Point Guard wa Blooklyn Nets, Kyrie Irving amerejea kwa kishindo akiiongoza timu yake kwenye ushindi wa alama 129 kwa 121 dhidi ya Indiana Pacers. Read more about Kyrie Irving arejea kwa kishindo NBA