Simba kufanya mabadiliko ya kikosi, Mapinduzi Cup

Wachezaji wa Simba wakishangilia goli

Kocha wa Simba SC Pablo Franco Martin amesema atafanya mabadiliko kwenye kikosi chake kuelekea mchezo wa usiku wa leo dhidi ya Mlandege kwenye michuano ya Mapinduzi CUP, na ameweka wazi kuwa atawapa nafasi ya kucheza wachezaji walio kwenye kikosi hicho kwa ajili ya majaribio.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS