Marekani kudhibiti mashambulio nchini Ukraine Rais wa Marekani Joe Biden Rais wa Marekani Joe Biden, amesema kwamba kwa kushirikiana na washirika wake, watahakikisha wanadhibiti mashambulio nchini Ukraine na kuiwajibisha Urusi baada ya jeshi la nchi hiyo kuivamia Ukraine. Read more about Marekani kudhibiti mashambulio nchini Ukraine